Nyumba ni kaburi lililojengwa juu ya ardhi

Wee jamaaa itakua ndo wale Mashekh ambao saa 11 alfjiri huwa wanatupa vitisho..

""Shuka uliyojifunika ndo sanda yako...
Sijui nyumba ndo kaburi.. umo umo an ..""'
Ni kutishana tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nakuona ukiwa umejifungia kwenye kaburi lililojengwa juu ya ardhi, likiwa na umeme ndani, kitanda, viti, masufuri πŸ˜€
 
Umaskini mbaya sana mtu maskini Huwa na vikihekima vya kijinga jinga vya kimaskini ambavyo yeye na maskini wenzie huona kama vihekima kumbe ujinga mtupu...
Watu wa kale hawakuishi kwenye makaburi yaliyojengwa juu ya ardhi, waliishi vichakani; sasa wewe endelea kujifungia kwenye hilo kaburi lenye umeme,vyombo, vitanda, makochi n.k
 
Wee jamaaa itakua ndo wale Mashekh ambao saa 11 alfjiri huwa wanatupa vitisho..

""Shuka uliyojifunika ndo sanda yako...
Sijui nyumba ndo kaburi.. umo umo an ..""'
Ni kutishana tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bin Adam anatafakarisha Sana,mbuzi wake wakipotea anasikitika,,mimea shambani ikikauka anasikitika,umri unaenda hasikitiki.
 
Dunia inahitaji tuishi kwa busara sana
 
Nyuz za hivi uletwa na wenye PhD

Ambao kimtaa tunachukulia wamesoma Sana mpk wamechanganyikiwaπŸ˜ƒ
PhD bila kuajiriwa unaona maisha magumu, sasa tufanyeje πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…