LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Hii nyumba nilijiona ni kama nina bahati ya kupangisha hapo
maana toka nihamie huu ni mwezi wa tatu lakini sijawahi nunua umeme na kodi nimelipa tu ule mwezi wa 2 nyuma sikulipa lakini kwa habari nilizozipata.
Nitawaletea mrejesho nikisha fanikiwa kuhama maana nasikia ukishapangisha hapo kuondoka ni muziki mnene.
Dua kwenu wadau maana nikijumlisha na ile ndoto yangu ya kuendesha treni kwenye njia ya vumbi bila reli napata wazimu.
Mungu anisaidie nihame salama