Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Wakuu nyumba ninayo ishi(nimepanga),kiukweli nyumba hii inasemwa vibaya sana na watu mtaani,..inasemwa kuwa ina mauzauza sana.
Watu huniuliza sana ninaishije mahali hapa,..hata mwenyeji nikimuelekeza ninaishi nyumba flani hunishangaa sana,...kiasi mimi nina miaka mitatu lakini sijawahi kuona chochote...au kama ni uchawi sijawahi kuusibitisha kwa namna yoyote ile...
Zaidi ya wapangaji wenzangu kulalamika kuwa wanasikia,,.mauzauza..mara hatua za mtu,mara maji yanafunguka na hakuna aliefungua,,mara hamna rizki,,..kuna kipindi watu wote walihama nikaishi mwenyewe zaidi ya miezi sita..
Huku vyumba vingine vikiwa tupu,,,sikuona chchote..ilhali na mimi sina kinga yoyote ya kiganga labda
Sasa wakuu je?naweza pata changamoto huko mbeleni?mimi malengo yangu ni kuhamia kwangu nikimaliza ujenzi ambao hauwezi kuisha siku za karibuni