Nedlloyd
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 10,361
- 27,215
Ng'ombe zipo zinapita Silently Kama P ya Psychology kuelekea PM.Wenye uhitaji wa mtaalam wamfuate PM chap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ng'ombe zipo zinapita Silently Kama P ya Psychology kuelekea PM.Wenye uhitaji wa mtaalam wamfuate PM chap
Sawa ngoja nioneNiliwahi ishi kama ww kwa kusikia miaka miwili,yalipoanza mbona nilihama,naww muda si mrefu utaleta majibu
Mbona mimi naamini wewe ni shetani au nimedanganywa?Hata hivyo Watanzania mnapenda sana uzushi.
Anaweza kutokea mtu mmoja tu akajitungia kitu; basi, kila mmoja anakuwa balozi.
Mfano: Mtu anaamua kusema kule sumbawanga kuna wachawi. Basi kila mtu huamini kila anaetoka Sumbawanga ni mchawi.
Baba mwenye nyumba anaelewa ...kila nikimuomba anivumilie nimekwama huwa anaelewa kwa haraka sanaEndelea na maisha na omba punguzo la Kodi kwa ajili ya kuishi nyumba wanayo kimbia wapangaji
Kuna nyumba unasikia kwa watu..Nimewahi kuishi maeneo na nyumba kadhaa yanayosemekana kuwa na mambo kama hayo, niliishi comfortably sijawahi ona hizo mambo zaidi ya wenzangu
Wakinifila nahama lakin kama wanadili na mambo yao naishi nao mileleKuna nyumba unasikia kwa watu..
kuna nyumba mauzauza yapo live
unalipa kodi miezi 6 unahama baada ya siku 3 unakimbia unasamehe na kodi!
Wewe ndio uza uza lenyewe sasaWakuu nyumba ninayo ishi(nimepanga),kiukweli nyumba hii inasemwa vibaya sana na watu mtaani,..inasemwa kuwa ina mauzauza sana.
Watu huniuliza sana ninaishije mahali hapa,..hata mwenyeji nikimuelekeza ninaishi nyumba flani hunishangaa sana,...kiasi mimi nina miaka mitatu lakini sijawahi kuona chochote...au kama ni uchawi sijawahi kuusibitisha kwa namna yoyote ile...
Zaidi ya wapangaji wenzangu kulalamika kuwa wanasikia,,.mauzauza..mara hatua za mtu,mara maji yanafunguka na hakuna aliefungua,,mara hamna rizki,,..kuna kipindi watu wote walihama nikaishi mwenyewe zaidi ya miezi sita..
Huku vyumba vingine vikiwa tupu,,,sikuona chchote..ilhali na mimi sina kinga yoyote ya kiganga labda
Sasa wakuu je?naweza pata changamoto huko mbeleni?mimi malengo yangu ni kuhamia kwangu nikimaliza ujenzi ambao hauwezi kuisha siku za karibuni
Mwili wako ni dhaifu ..hauna spiritual power ...kama chaji katika simu basi ujue ukifungua YouTube video ya dakika 5 simu yenyewe inazima ....Wakuu nyumba ninayo ishi(nimepanga),kiukweli nyumba hii inasemwa vibaya sana na watu mtaani,..inasemwa kuwa ina mauzauza sana.
Watu huniuliza sana ninaishije mahali hapa,..hata mwenyeji nikimuelekeza ninaishi nyumba flani hunishangaa sana,...kiasi mimi nina miaka mitatu lakini sijawahi kuona chochote...au kama ni uchawi sijawahi kuusibitisha kwa namna yoyote ile...
Zaidi ya wapangaji wenzangu kulalamika kuwa wanasikia,,.mauzauza..mara hatua za mtu,mara maji yanafunguka na hakuna aliefungua,,mara hamna rizki,,..kuna kipindi watu wote walihama nikaishi mwenyewe zaidi ya miezi sita..
Huku vyumba vingine vikiwa tupu,,,sikuona chchote..ilhali na mimi sina kinga yoyote ya kiganga labda
Sasa wakuu je?naweza pata changamoto huko mbeleni?mimi malengo yangu ni kuhamia kwangu nikimaliza ujenzi ambao hauwezi kuisha siku za karibuni
Huyo ni dhaifu,...wachawi wanajipigia tu....Kijana ana uganga mkali mnoo.
Ha ha ha haTulikua tumekusahau twaja