Bikirajohola
JF-Expert Member
- Jun 11, 2022
- 356
- 634
Huku maeneo ya kwetu Kibaha -Visiga nyumba zilizokuwa zinaota kama uyoga miaka miwili iliyopita sasa zimebaki maboma tu na waliokuwa wanazijenga haijulikani wamepotelea wapi.
Sasa hivi ujenzi unaoendelea kwa kasi maeneo yetu ni wa vituo vya kuuza mafuta lakini ujenzi wa watu binafsi umedorara sana.
Tatizo ni nini?
Sasa hivi ujenzi unaoendelea kwa kasi maeneo yetu ni wa vituo vya kuuza mafuta lakini ujenzi wa watu binafsi umedorara sana.
Tatizo ni nini?