Nyumba nyingi huku Visiga zimeachwa kwenye maboma

Nyumba nyingi huku Visiga zimeachwa kwenye maboma

Hela hamna mfukoni ,vitu vimepanda bei baada ya nchi kufunguliwa.
Kwani wewe kwenye shughuli zako vitu havijaongezeka bei?

Mkulima kipato kimeongezeka bei za Mazao ziko juu..

Wafanyakazi wameongezewa salaries..

Kwa hiyo haja ingekuwa vitu vimepanda Bei na vipato kushuka Inge make sense.
 
Sasa kwa nini wameacha kujenga?
 
Mipango yao unaijua? Mtafute kila mmja umuulizie
Kwakweli kila mtu ana mipango yake,pengine kwa mda huu wamejikita kwenye shuhuli nyingine na kuachana na ujenzi,hata mimi nikishaweka grill naachana na ujenzi kwa mwaka huu ,hii ni mipango binafsi ,yatupasa tuelewe ujenzi unahitaji muda pia sio suala la hela peke yake.
 
Kipindi cha Jiwe Ili kuretain value ya hela ilibidi watu waweke assert ambazo ni unmovable kama iyo mijengo au mashamba mana Sio biashara wala kuhifadhi bank kote hapakuwa safe
 
Kipindi cha Jiwe Ili kuretain value ya hela ilibidi watu waweke assert ambazo ni unmovable kama iyo mijengo au mashamba mana Sio biashara wala kuhifadhi bank kote hapakuwa safe
Sasa hivi wewe unafanya biashara gani
 
Back
Top Bottom