Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Hili jiji kuna sehemu nyingi sijui zibomolewe tu halafu zianze kujengwa upya
Nyumba nyingi ni below standard halafu Skyline yake imejaa slums kwa kiasi kikubwa halafu ni kama uwekezaji upo chini
Hili jiji linaipatia serikali hela nyingi sana kila mwaka ila kuna miradi michache mno ya kutransform jiji
Mbeya ni tunu ambayo hatujui kuitumia. Ni sehemu yenye potential kubwa sana ila serikali mmeitupilia mbali.
Jiji lina changamoto nyingi mno na efforts za kuzipunguza changamoto hizo hazipo kabisa
Kupanua tu barabara ya TANZAM imewachukua miaka mingi kuanza huo mradi wakati ilionekana kabisa barabara inahitaji kupanuliwa since kitambo
Ingekuwa hii barabara ipo Dar hapo mngekuwa mmeshaitanua kuwa hata njia 6 kitambo sana
Soma Pia: Mbeya: TECU na TANROADS Mkoa, Wakagua Ujenzi wa Daraja la Sungwe la barabara ya TANZAM
All in all Mbeya inaendelezwa na wananchi wenyewe lakini changamoto nyingi za Mbeya serikali ndio inapaswa itatue
Halafu mi nashangaa vipaumbele vya Tanzania. Mbeya ni jiji kubwa lina watu takribani laki 6 hadi 7 sasa hivi, halafu lipo karibu na nchi jirani
Nilitegemea viongozi mtalichangamkia kuanzisha miradi ya kutransform jiji na kuvutia uwekezaji
Mbeya ikitumiwa vizuri itakua kwa kasi na GDP yake itaongezeka mara dufu, ila sasahivi ni kama mmeliacha tu likue lenyewe bila kuliwekea efforts za maana