House4Rent Nyumba nzima inapangishwa Kimara Mwisho Tzs. 200,000/= kwa mwezi unaweza kulipa mpaka miezi mitatu

House4Rent Nyumba nzima inapangishwa Kimara Mwisho Tzs. 200,000/= kwa mwezi unaweza kulipa mpaka miezi mitatu

Niliwahi pata nyumba maeneo ya Tabata, wakati naingia niliambiwa humu wapangaji huwa hawakai, mimi nilikaa kama miezi 8 nikahama jiji kwa sababu zangu, yawezekana kabsa nyumba au mwenye nyumba hana tatizo shida ni wapangaji tu.
Well said [emoji1666]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo kimara sehemu gani mavurunza/kingongo/bonyokwa tupe maelekezo.
 
Ww ndio umeleta dharau kwenye nyumba ya mwenzako hata kama ni tajiri kauli ulizotumia SI SAWA

Ndio nishaiyona mbaya Kwani uwongo wewe unaiyona nzuri ?! Ni mtazamo wangu nawe kama umeiyona nzuri sijakukataza sawa
 
Ndio nishaiyona mbaya Kwani uwongo wewe unaiyona nzuri ?! Ni mtazamo wangu nawe kama umeiyona nzuri sijakukataza sawa
Kama unaiona mbaya uliingia kufanya nini ulipoona inapangishwa laki mbili au ulitaka nyumba ya laki mbili iwaje tofauti na hiyo?....ngoja nikuache boss usije sema dharau tena!!!!
 
Kama unaiona mbaya uliingia kufanya nini ulipoona inapangishwa laki mbili au ulitaka nyumba ya laki mbili iwaje tofauti na hiyo?....ngoja nikuache boss usije sema dharau tena!!!!

So unanipangia nini chakusoma JamiiForums !![emoji28][emoji3]
 
Nyumba ilipata mpangaji tarehe 02 January 2020, bahati mbaya tulipangisha TAPELI...Ametapeli watu huko kiasi cha kuwapeleka watu wa benki pale nyumbani na kusema nyumba ni ya kwake, ndipo hapo alipogundulika na hakufanikiwa.

Kwahiyo kaondoka kwa matatizo yake na sio ya nyumba.

Ahsanteni kwa kunielewa wakuu na karibuni sana. [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Sana, matapeli sio watu wazuri
 
Back
Top Bottom