House4Rent Nyumba nzima inapangishwa Kimara Mwisho Tzs. 200,000/= kwa mwezi unaweza kulipa mpaka miezi mitatu

Niliwahi pata nyumba maeneo ya Tabata, wakati naingia niliambiwa humu wapangaji huwa hawakai, mimi nilikaa kama miezi 8 nikahama jiji kwa sababu zangu, yawezekana kabsa nyumba au mwenye nyumba hana tatizo shida ni wapangaji tu.
Well said [emoji1666]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo kimara sehemu gani mavurunza/kingongo/bonyokwa tupe maelekezo.
 
Ww ndio umeleta dharau kwenye nyumba ya mwenzako hata kama ni tajiri kauli ulizotumia SI SAWA

Ndio nishaiyona mbaya Kwani uwongo wewe unaiyona nzuri ?! Ni mtazamo wangu nawe kama umeiyona nzuri sijakukataza sawa
 
Ndio nishaiyona mbaya Kwani uwongo wewe unaiyona nzuri ?! Ni mtazamo wangu nawe kama umeiyona nzuri sijakukataza sawa
Kama unaiona mbaya uliingia kufanya nini ulipoona inapangishwa laki mbili au ulitaka nyumba ya laki mbili iwaje tofauti na hiyo?....ngoja nikuache boss usije sema dharau tena!!!!
 
Kama unaiona mbaya uliingia kufanya nini ulipoona inapangishwa laki mbili au ulitaka nyumba ya laki mbili iwaje tofauti na hiyo?....ngoja nikuache boss usije sema dharau tena!!!!

So unanipangia nini chakusoma JamiiForums !![emoji28][emoji3]
 
Pole Sana, matapeli sio watu wazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…