Haipo bongo hii ipo nigeria nimepost muipe credit ipo lekki phase Nigeria ndio maana nikaandika bongo bahati mbaya.Kwa bei hiyo ni sawa au inaweza kuwa zaidi ya hapo kutegemea na location yake
Hebu andika iko mji gani?
Maana wote hatukai mji mmoja
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Mtumba ya dodoma πππMwambie mwenye nayo ajiuzie mwenyewe sisi tumetingwa na ujenzi wa mji wa kiserikali mtumba
Sent using Jamii Forums mobile app