King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,581
- 1,357
- Thread starter
- #21
Mkuu kuondoa inconveniences hii nyumba nimepost just for fun inauzwa ipo Lekki phase nchini Nigeria, labda kama unataka kupewa uraia wa Nigeria its okay nikuconnect na mmliki.... Na isitoshe zipo house za Bei nafuu zaidi na nzuri.Mkuu embu toa maelezo ya kutosha juu ya eneo iliyopo nyumba pamoja na location maana umetaja lakke phase tu,nimevutiwa na hiyo nyumba afu billion moja sio kitu maana sio wote makupuku unavyofikiri
Kama Upo seriously njoo inbox kama huwez kuweka details za kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app