Mkuu embu toa maelezo ya kutosha juu ya eneo iliyopo nyumba pamoja na location maana umetaja lakke phase tu,nimevutiwa na hiyo nyumba afu billion moja sio kitu maana sio wote makupuku unavyofikiri
Kama Upo seriously njoo inbox kama huwez kuweka details za kutosha
Sent using
Jamii Forums mobile app