House4Rent Nyumba nzuri inapangishwa, Ipo kijitonyama mabatini DSM

House4Rent Nyumba nzuri inapangishwa, Ipo kijitonyama mabatini DSM

zile za bei yetu ya 100-150 vipi? au tukae vijijini?! haaah
 
Sawa mkuu, nifanyie mpango, ndgyo! nijipange kutafuta maisha mjini
 
Nyumba Ipo safi ina vyumba vitatu na Kimoja master ambacho kina AC, Jiko safi sebule na mazingira mtulivu, maji yapo na tank la maji Juu, Ipo mabatini ya kutoka Africa sana, lami mpaka getini, bei ni 650,000 maongezi yapo, pia wale wa chumba, master, chumba na sebule, vyumba viwili vipo, cha msingi mtu uwe serious, Maeneo ni sinza, mwenge, savei na Mbezi,,. if you are interested don't hesitate to contact me, my no is 0713415537, please only serious people, na wahitaji tu.
Ipo Bado iyo Nyumba? Laki6 anachukua? Inafaa kwa ofisi?
 
Kwahyo bei mwenye kulipa lazima atakuwa jipu
 
Ni kweli mkuu ZanzibarSpices,Mkuu Tunzo Jf ni pazuri kwa biashara ila kuwa mvumilivu kuna watu humu wao ni kukosoa tu liwe jambo zuri au baya,nakuomba kuwa mtulivu humu yaani ww unavyopanic ndyo raha yke kuwa limekupata na wapo wenye shida na hitajio hilo lzm wata ku PM kuwa mpole
ok
 
Kwahyo bei mwenye kulipa lazima atakuwa jipu

Mdogo wangu acha mawazo ya kimaskini. Tatizo vijana mmemaliza chuo juzi mnataka maisha mikocheni au mbezi beach moja kwa moja. Inabidi uanze na room moja Kimara...usogee ubungo...usogee kijitonyama.....ndo uanze kuchungulia huko. Mimi nilianzia ubungo....nikasogea sinza.....kijitonyama Leo niko mitaa ya kati....ni maisha na kila mtu ana zamu yake. Matatizo yanaanza pale vijana mnataka mtembee bila kutambaa....lazima Magufuli awatumbue.
 
  • Thanks
Reactions: bbc
chumba kimoja kimoja pia vipo
 
Back
Top Bottom