House4Rent Nyumba nzuri inapangishwa, Ipo kijitonyama mabatini DSM

zile za bei yetu ya 100-150 vipi? au tukae vijijini?! haaah
 
Sawa mkuu, nifanyie mpango, ndgyo! nijipange kutafuta maisha mjini
 
Ipo Bado iyo Nyumba? Laki6 anachukua? Inafaa kwa ofisi?
 
Kwahyo bei mwenye kulipa lazima atakuwa jipu
 
ok
 
Kwahyo bei mwenye kulipa lazima atakuwa jipu

Mdogo wangu acha mawazo ya kimaskini. Tatizo vijana mmemaliza chuo juzi mnataka maisha mikocheni au mbezi beach moja kwa moja. Inabidi uanze na room moja Kimara...usogee ubungo...usogee kijitonyama.....ndo uanze kuchungulia huko. Mimi nilianzia ubungo....nikasogea sinza.....kijitonyama Leo niko mitaa ya kati....ni maisha na kila mtu ana zamu yake. Matatizo yanaanza pale vijana mnataka mtembee bila kutambaa....lazima Magufuli awatumbue.
 
Reactions: bbc
chumba kimoja kimoja pia vipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…