Nyumba nzuri inauzwa Sengerema - Mwanza 34mil

Nyumba nzuri inauzwa Sengerema - Mwanza 34mil

Son Of Almighty

Senior Member
Joined
Jun 28, 2017
Posts
133
Reaction score
451
Habari za mchana Wakuu.

Rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu, nyumba nzuri inauzwa Sengerema - Mwanza na bei imeshuka mpaka 34mil.

Eneo lina ukubwa 450sqm.
Nyumba imezungushiwa fensi na kuna geti.
Nyumba ina Tanki la maji la lita 1000.
Kuna kisima kilichojengewa vizuri.
Maji yapo na bomba lipo connected to house.
Umeme upo na kuna units 750, hivyo hutokuwa na gharama za kununua umeme kwa takribani mwaka huu mzima.

Nyumba imewekwa tiles yote.
Nyumba imewekwa gypsum board yote
Nyumba imewekwa madirisha ya Aluminium.
Ina vyumba vitatu, kimoja Master.
Ina sebule kubwa.
Ina dinning kubwa.
Ina jiko.
Ina Choo cha public ndani.

Nyumba ipo mjini, sehemu nzuri na tulivu.

Karibu ujipatie nyumba kwa manufaa yako na familia, kumbuka maisha ni nyumba. Epukana na gharama za kupanga, jipatie nyumba bora na nzuri.

Kwa mawasiliano, 0624 167 441
Mimi ndiye mmiliki, maongezi pia yapo.

Wote mnakaribishwa
 

Attachments

  • IMG-20170222-WA0010.jpg
    IMG-20170222-WA0010.jpg
    61.9 KB · Views: 53
  • 1559227514022_IMG-20170222-WA0012.jpg
    1559227514022_IMG-20170222-WA0012.jpg
    91.6 KB · Views: 52
  • IMG-20170222-WA0004.jpg
    IMG-20170222-WA0004.jpg
    88.3 KB · Views: 48
Mkuu bei kubwa sana punguza, kuna mjengo niliuona humu uko Singida ni wa hatari bei yake ya kawaida tu.
.
Alafu hapo sio ibizabageni kweli?
 
Mkuu bei kubwa sana punguza, kuna mjengo niliuona humu uko Singida ni wa hatari bei yake ya kawaida tu.
.
Alafu hapo sio ibizabageni kweli?

Asante kwa mchango wako..

Unaweza kuwa sahihi au kutokuwa sahihi.

Watu wanauza mali/nyumba kwa malengo, makusudi na mipango maalum na binafsi . Hatuuzi tu kufuata mkumbo au kwakuwa fulani kauza au kauza kwa bei fulani.

Huenda uliona nyumba nzuri kama usemavo ila anayeuza kaweka bei ya kawaida, huwezi jua malengo au changamoto inayomfanya size au aweke bei ya kawaida..

Ila pia nimesema kuwa kwa mhitaji aliye serious basi maongezi yapo, afike akague na aione nyumba then tutazungumza.

Asante na shukrani sana kwa mchango wako
 
Mkuu tuongee bei ya kisima ninashida nacho.
 
Mtaa gani huo? Nyatukala,mission,ibisabangeni,mwabaluhi,jeshini,kwa makonge,au ni wapi????
 
Back
Top Bottom