Dalali_wa_kimataifa
Senior Member
- Apr 16, 2025
- 182
- 176
Madalali wa goba n wangesee sana wameiharibu goba Kwa kuuza maviwanja mamilioni ya helaa ,na kupangisha nyumbaa za kawaidaa tu ety laki 6 Kwa mwezi chumba ,sebule ,choo na kijiko uchwaraa , wkt nyumba km hyo sinza labda laki 3 Kwa mwezii ,yaan goba imepandishwa thaman isiyokuwa nayo..Hivi what is so Special about Goba kiasi kwamba watu wauziwe viwanja na majumba kwa gharama ambazo kwangu naona ni overly priced!
Yani nitoe million 500 ninunue nyumba Goba wakati Sinza napata nyumba kwa nusu ya hio fedha ambapo ni Centre zaidi.
Hivi what is so Special about Goba kiasi kwamba watu wauziwe viwanja na majumba kwa gharama ambazo kwangu naona ni overly priced!
Yani nitoe million 500 ninunue nyumba Goba wakati Sinza napata nyumba kwa nusu ya hio fedha ambapo ni Centre zaidi.
Madalali Njaa sanaHivi what is so Special about Goba kiasi kwamba watu wauziwe viwanja na majumba kwa gharama ambazo kwangu naona ni overly priced!
Yani nitoe million 500 ninunue nyumba Goba wakati Sinza napata nyumba kwa nusu ya hio fedha ambapo ni Centre zaidi.
Nadhani inabidi wafanye hivyo maana wanaona watu ni wajinga sana.Facts
Hiyo milioni 500 , Chanika unajenga nyumba Kali sana kwa milioni 50 na eneo linabaki la kutosha..
Madalali wa Goba wapuuzi sana..
Mwambieni achukue kararasi aandike Milioni Mia Tano halafu aichukue.
Wanunuaji wapo ndio maana wanafanya hivyo. Watu wana pesa mkuu shida ni yangu na yako.Nadhani inabidi wafanye hivyo maana wanaona watu ni wajinga sana.
Goba ni pazuri now days japo wamefanya bei kubwa hao madalali ila Goba ipo vizuriWhat is so special about Goba?
Kumbe na ujanja wako wote unaishi Chanika. Any way Goba ni pazuri mkuu kuhusu thamani ya hiyo nyumba sijui ilaFacts
Hiyo milioni 500 , Chanika unajenga nyumba Kali sana kwa milioni 50 na eneo linabaki la kutosha..
Madalali wa Goba wapuuzi sana..
Mwambieni achukue kararasi aandike Milioni Mia Tano halafu aichukue.
Kuna sehemu ndani ndani kama kule Marobo (boda nauli buku3). Nimekuta nyumba nyingi za kiasasa. Inshort watu wanajenga sana kule.Goba ni pazuri now days japo wamefanya bei kubwa hao madalali ila Goba ipo vizuri
Sana mpaka huku Goba Kulangwa na Tegeta A ni Magorofa na nyumba za maana zinajengwa huku.Kuna sehemu ndani ndani kama kule Marobo (boda nauli buku3). Nimekuta nyumba nyingi za kiasasa. Inshort watu wanajenga sana kule.
Watakuwa wanauzia na status ya eneo pia Goba Lastaza ni pazuri sanaHamna nyumba ya milioni 500 hapo
Nimezaliwa kata ya Makongo nimekulia kata ya Makongo.Kumbe na ujanja wako wote unaishi Chanika. Any way Goba ni pazuri mkuu kuhusu thamani ya hiyo nyumba sijui ila
Goba ni sehem nzuri.
Wewe unapenda hekaheka ndio maana unapenda huko Chanika, Buza, Tandika na Mbagala uswahilini.Nimezaliwa kata ya Makongo nimekulia kata ya Makongo.
Goba naijua nje ndani.
Siwezi nunua property ya millioni Mia Goba.
Bora ungesema hata Changanyikeni at least.
Dar Es Salaam mpya imehamia Chanika na Buza.
Watoto wa elfu 2 kibao wamejaa.
Kwanza Goba hakuna hata watoto wa elfu 2.