Pastor steven mdoe
Senior Member
- Jan 13, 2016
- 113
- 34
shikamoo JPM sasa tumeanza kuuza nyumba zetu kwa bei poa du
tzs 1.3b ni bei poa??!!!!!!shikamoo JPM sasa tumeanza kuuza nyumba zetu kwa bei poa du
enzi za JK kwa huko kigamboni wangeuza 2 blntzs 1.3b ni bei poa??!!!!!!
Alidhani ni laki 6.Bil 1.4 bei rahisi? U cant be serious
Nyumba yako nzuri.Ndio najaribu kumtafakari kumshangaa ndg yangu
Duuuuuh Nyumba Ya Mil 500 inauzwa Bil jaman
Mkuu hata bakhresa hawezi nunua hii nyumba kwa location hiyo.1,449,500,000 hii ndio thamani yake, mmmh waje akina Bakresa