House4Sale Nyumba nzuri sana ya kisasa inauzwa, Ipo Kigamboni

House4Sale Nyumba nzuri sana ya kisasa inauzwa, Ipo Kigamboni

Pastor steven mdoe

Senior Member
Joined
Jan 13, 2016
Posts
113
Reaction score
34
Tunauza hii Nyumba Ipo kigamboni mtaa wa Tuangoma goroka njia panda ya Jeshi
Nyumba ni ya Ghorofa chini chumba kimoja self na Juu vyumba 3 vyote ni self nk
Ukubwa wa plot 1500sqm na bei yake 650,000/usd

Kwa Maelezo zaidi na ukihitaji kuja kuiona wasiliana nami kwa 0756060183
 

Attachments

  • 1467139133299.jpg
    1467139133299.jpg
    65.8 KB · Views: 376
  • 1467139164966.jpg
    1467139164966.jpg
    55 KB · Views: 308
  • 1467139195855.jpg
    1467139195855.jpg
    49.4 KB · Views: 367
  • 1467139232054.jpg
    1467139232054.jpg
    97.3 KB · Views: 589
  • 1467139259424.jpg
    1467139259424.jpg
    67.7 KB · Views: 424
  • 1467139295835.jpg
    1467139295835.jpg
    41.8 KB · Views: 320
  • 1467139330444.jpg
    1467139330444.jpg
    80.2 KB · Views: 307
shikamoo JPM sasa tumeanza kuuza nyumba zetu kwa bei poa du
 
Niliangalia haraka nikafikiri ni 650M ya kibongo nikasema itakuwa sio mbaya sana
 
Thamani ya hiyo nyumba na kiwanja chake haizidi t.shs.450 million. M valuer and experienced. Above that it's fraud money.
 
Magufuli kandamiza kandamiza mpaka wauze hadi vijiko.
 
Back
Top Bottom