House4Sale Nyumba nzuri zinauzwa maeneo mbalimbali jijini Mwanza

House4Sale Nyumba nzuri zinauzwa maeneo mbalimbali jijini Mwanza

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
5,715
Reaction score
13,739
Ni nyumba nzuri kwa ajili ya matumizi ya familia ipo jijini Mwanza, bei yake ni shilingi milioni 37 japo maongezi yapo. Wewe njoo na pesa yako tuongee, hiyo bei wala isikutishe, miliki na wewe nyumba yako jijini Mwanza.

Kwani wao waweze wana nini na wewe ushinde una nini? 0769344686
IMG-20221204-WA0014.jpg
IMG-20221204-WA0014.jpg
 
Ni nyumba nzuri kuubwa, ina vyumba vitatu, dinning room na sebule kuubwa, inahitaji finishing pekee.

Ina uwanja wa ziada 20 kwa 30. Njoo nikupeleke ukaione na wewe umiliki nyumba yako jijini Mwanza. Kwani wao waweze wana nini na wewe ushindwe una nini?

Njoo na ofa yako, njoo na pesa yako. Mazungumzo yapo, bei ni milioni 68 tu, punguzo lipo. Nasema hivii punguzo lipo tena sana.

IMG-20221205-WA0017.jpg
IMG-20221205-WA0016.jpg
IMG-20221205-WA0016.jpg
IMG-20221205-WA0015.jpg
IMG-20221205-WA0013.jpg
 
Nyumba nzuri inauzwa mkabala na Chuo cha Biashara CBE. inavyumba vitatu vikubwa (master bedrooms) na sebule kuubwa. Dinning hall, pia ina fence matata. Njoo tuzungumze, njoo tuongee ndugu yangu, lakini pia kama wewe siyo muhitaji niletee mtu nakuhakikishia utapata bakhshish (big g).

Bei ni millioni 38, japo mazungumzo yapo. Hiyo bei inapungua tena sana. Nipigie 0769344686
IMG-20221205-WA0022.jpg
IMG-20221205-WA0020.jpg
IMG-20221205-WA0021.jpg
IMG-20221205-WA0019.jpg
IMG-20221205-WA0018.jpg
 
Tunakuja matajiri huwa December hawatoi pesa ngoja January hyo nyumba ya milinio 37 nitakupa 22milion
 
Back
Top Bottom