Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
NyakatoChuo cha CBE hapo Mwanza kiko wapi?
Nadhani hizi taarifa ungeziweka vyema kwenye bandiko lako ili hata mtu aliyembali na hapo Mwanza au hapajui vizuri aelewe vizuri.Nyakato
Ndio maana nimeweka namba yangu ya simuNadhani hizi taarifa ungeziweka vyema kwenye bandiko lako ili hata mtu aliyembali na hapo Mwanza au hapajui vizuri aelewe vizuri.
Nicheki kwa hiyo namba hapo juuHiyo bei ....... ama nyumba ina deni la mkopo ama mambo ya mirathi