ni kweli mkuu ila wengi hawana elim na mbinu za kudhibiti majiNa mvua hz.
KAZI ni kipimo cha utu
huo ni kwa ajili ya kuyeyushia roofing felt (dpc) ili iweze kushika kwenye ukutahuo moto unakushia maji au?
Hujatoa maelezo yoyote zaidi ya namba ya simu
Dpc ya china ni kimeo. Miàka 2 tu imexpirehuo ni kwa ajili ya kuyeyushia roofing felt (dpc) ili iweze kushika kwenye ukuta
hapana sio kweli mkuu kila kukicha nazitumia nipe kazi hata hivyo hizi nazo tumia ni kutoka egptyDpc ya china ni kimeo. Miàka 2 tu imexpire