Nyumba, viwanja vinauzwa Kimara Mavurunza/Kwa Beka

Nyumba, viwanja vinauzwa Kimara Mavurunza/Kwa Beka

Offline User

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
3,828
Reaction score
2,396
Wadau, hii nyumba inauzwa 70ml, maelewano yapo. Iko Kimara Mavurunza/kwa Beka, ina hati, na iko accessed kwa barabara kubwa ya Bonyokwa. Pia kuna viwanja jirani vinauzwa kwa 10ml kila kimoja, havina hati. Kwa maelezo zaidi ingia PM.
 

Attachments

  • 1403091762727.jpg
    1403091762727.jpg
    98.7 KB · Views: 161
  • 1403091793658.jpg
    1403091793658.jpg
    134.3 KB · Views: 148
Hii plot inauzwa 10ml. Ipo katikati kabisa mwa mijengo kama inavyoonekana hapo
 

Attachments

  • 1403093906814.jpg
    1403093906814.jpg
    145.1 KB · Views: 149
Back
Top Bottom