Dalali KinG
Senior Member
- Jan 16, 2019
- 102
- 71
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, Kama Unaulizia Chumba Chenye Choo nje Cha Kushea, Bei inategemea na hadhi ya Chumba na Ukubwa Wa Chumba na Umbali toka barabara Kuu. Kuna Vyumba Vya Kuanzia elfu 30 hadi laki 1.Maeneo ya mbenzi bichi maeneo ya kuanzia thank bovu kwende mle mpaka Africana napata chumba kwa Bei gani ili nikutafute mi nipo temeke
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo Mkuu, Ukiwa tayari nijulisheMimi kipato changu kinamudu chumba Cha elf40 au 50 kwa mwenzi najua kidogo chumba kina hazi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bado vinapatikana vya namna hii