Nyumba ya Bilioni 1.3 inauzwa Magomeni Dar Es Salaam. Tuwasiliane

Nyumba ya Bilioni 1.3 inauzwa Magomeni Dar Es Salaam. Tuwasiliane

Dalali_wa_kimataifa

Senior Member
Joined
Apr 16, 2025
Posts
182
Reaction score
176
Nyumba ya ghorofa tano (5) inauzwa Magomeni Morocco, Dar es Salaam. Ipo barabara ya lami, hivyo upatikanaji wake ni rahisi na wa uhakika.


Jengo hili lina apartment nane (8), kila moja ikiwa na vyumba viwili, sebule, jiko na choo. Zaidi ya hapo, kuna apartment moja kubwa yenye vyumba vinne, iliyoko kwenye floor ya mwisho.


Aidha, kuna frame nne (4) ambazo zote zinafanya kazi. Ukubwa wa kiwanja ni 2,850 sqm, hivyo kuna nafasi kubwa ya matumizi mbalimbali.


Bei ya nyumba ni billion 1.3, na maongezi yapo kidogo.

Kwa mawasiliano, piga simu kupitia 🇹🇿 +255758844717.

Polish_20250807_193538437.jpg
 
Back
Top Bottom