Hahahahaha bro una makusudi kishenzi.ana maana mikocheni ya kigamboni.mbona chanika kuna masaki?
Kigmboni sehemu gani hiiHahahahaha bro una makusudi kishenzi.
Ila namshauri aje kigamboni atapata nyumba nzima ya vyumba vitatu moja master choo,jiko na dinning room ikiwa na fance juu kwa 200 to 250k
Unatafuta chumba cha gesti sio nyumba ya kupangaSalaam..
Natafuta nyumba nzuri ya kupanga maeneo ya Mikocheni, Dar. Muhitaji ana familia so inahitajika iwe ni ya vyumba viwili, sebule pamoja na jiko.
Muhimu: Isiwe mazingira ya uswazi na bei isizidi laki 2 na 50 kwa mwezi.
Asante
Kigamboni kisiwani,kigamboni soweto n.k n.k.Kigmboni sehemu gani hii
Hivi washaacha wizi huko kigamboni maana unaweza lala ukaamka watu wamekata dirisha flat screen hakuna, HI FI system wameiba bila kusahau kuiba taa za Fuga, power window, etcKigamboni kisiwani,kigamboni soweto n.k n.k.
Km nyumba ya vyumba viwili ni 150k.
Na ni nzuri tu huku mji si ndio unajengeka bro yani kumetulia asikwambie mtu ule ufukunyuku na uswahili km wa Temeke haupo ni sehem nzuri ambayo inasapoti hatta ukuaji mzuri na malezi bora ya mtoto.
Mimi nimepangishiwa nyumba ya vyumba vitatu sitting room,dinning,choo na jiko 200k kwa mwez maeneo ya Vijibwen karibia na kisiwani mkwajuni.
Na nzuri haina tatizo.
Kama akitaka anapata fasta tu hususan maeneo ya soweto ndio zinazidi kujengwa nyumba na kupangishwa.
Sio lazima mbanane huko mbona kuna sehem nzuri zimetulia huku mpk raha na nzuri tuu???
Bro wizi haupo mji umekuwa sasa.Hivi washaacha wizi huko kigamboni maana unaweza lala ukaamka watu wamekata dirisha flat screen hakuna, HI FI system wameiba bila kusahau kuiba taa za Fuga, power window, etc