Kigamboni kisiwani,kigamboni soweto n.k n.k.
Km nyumba ya vyumba viwili ni 150k.
Na ni nzuri tu huku mji si ndio unajengeka bro yani kumetulia asikwambie mtu ule ufukunyuku na uswahili km wa Temeke haupo ni sehem nzuri ambayo inasapoti hatta ukuaji mzuri na malezi bora ya mtoto.
Mimi nimepangishiwa nyumba ya vyumba vitatu sitting room,dinning,choo na jiko 200k kwa mwez maeneo ya Vijibwen karibia na kisiwani mkwajuni.
Na nzuri haina tatizo.
Kama akitaka anapata fasta tu hususan maeneo ya soweto ndio zinazidi kujengwa nyumba na kupangishwa.
Sio lazima mbanane huko mbona kuna sehem nzuri zimetulia huku mpk raha na nzuri tuu???