Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
SawaWeka angalau picha ya hiyo ghorofa.
Subiri ndio napiga picha hapaIko wapi hiyo nyumba yenyewe ya laki tano?tuone hata picha kama inaendana na pesa tajwa.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ina choo ndani?Nyumba ya ghorofa inapangishwa kwa laki tano maeneo ya mtaa wa Chang'ombe B karibu na kituo cha Serengeti.
Nimeshaweka ni ni ghorofa ya juuWeka angalau picha ya hiyo ghorofa.
Ina kila kitu boss hilo ni ghorofaIna choo ndani?
Tiari boss nimeweka pichaIko wapi hiyo nyumba yenyewe ya laki tano?tuone hata picha kama inaendana na pesa tajwa.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kama hivyo basi ongeza kodi.Ina kila kitu boss hilo ni ghorofa
Bei ndio hiyohiyo haiongezeki boss.Kama hivyo basi ongeza kodi.
π π π Mkuu ulitarajia ghorofa iwe na choo nje?Ina choo ndani?
ππππππ π π Mkuu ulitarajia ghorofa iwe na choo nje?
1. Vyumba vya kulala vingapi?Nyumba ya ghorofa inapangishwa kwa laki tano (500,000 Tsh) maeneo ya mtaa wa Chang'ombe B karibu na kituo cha Serengeti.
Kinachopangishwa ni hiyo ghorofa ya juu. Ipo mtaa mzuri sana nyumba zimejipanga freshwi kabisa.
Piga namba : 0747744895View attachment 2382843View attachment 2382844View attachment 2382845View attachment 2382846View attachment 2382846View attachment 2382847View attachment 2382848View attachment 2382849View attachment 2382850View attachment 2382851View attachment 2382852View attachment 2382853View attachment 2382854View attachment 2382855View attachment 2382856View attachment 2382857View attachment 2382858View attachment 2382859View attachment 2382860View attachment 2382861View attachment 2382862
Nyumba hiyo ina:hakuna details za kutosha..500K kwa lipi hasa?
Nyumba hiyo ina:1. Vyumba vya kulala vingapi?
2. Vingapi ni self contained?
3. Sebule ni dining room ni tofauti au ni chumba kimoja?
4. Jiko lipo.
5. Store?
6. Upatikanaji wa maji ni wa uhakika?
7. n.k.
Ingependeza zaidi au kama cha ndani kiwe cha shimo.π π π Mkuu ulitarajia ghorofa iwe na choo nje?
πππππIngependeza zaidi au kama cha ndani kiwe cha shimo.
π€£π€£π€£π€£Ingependeza zaidi au kama cha ndani kiwe cha shimo.