House4Rent Nyumba ya ghorofa inapangishwa kwa laki tano maeneo ya mtaa wa Chang'ombe B karibu na kituo cha Serengeti

Nyumba hiyo ina:
1. Vyumba vya kulala viwili vyote self contained?
2. Open kitchen (Jiko linaambatana, na sebule)
3. Public Toilet
4. Sebule ni dining
5. Maji yasiyo na chumvi ya kutosha kabisa na uhakika?
vigezo / sifa nambari 1 na 5 mbona zinaishia na viulizo? dah ok basi sio kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…