jameson567
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 536
- 3,289
Nyumba ya ghorofa inauzwa. Ipo Kigamboni sehemu moja inaitwa DEGE,.. ni kama 20 km's kutoka Ferry. Documents zote zipo(Hati). Ghorofa lina vyumba sita vya kulala vyote ni self contained na sitting rooms mbili, moja chini moja juu.
Limezungushiwa ukuta na eneo la kiwanja ni Square Meter 947 na pembeni kuna nyumba ya kawaida ambayo haijaisha yenye vyumba vinne vya kulala vyote vina toilet ndani na sitting room kubwa(hii utapewa kama bonus). Kuna kisima cha maji safi hayana chumvi.Jirani yake kama mita 200 hivi kuna chuo kinaitwa Kigamboni College of health and allied science ni chuo kikubwa tu. Ipo kama mita 500(1/2 km) kutoka kwenye main road na kama 3 km's kutoka beach.
Asking price ni mil.250(105,000 USD) approximately. Bei inapoa kidogo. Kama upo interested au ndugu jamaa na rafiki yeyote yupo interested tuwasiliane. Ukifanikisha kupata mteja kuna 10% yako. Naambatanisha videos. Kwa maelezo zaidi nipigie simu au nicheki whatsapp kwa namba 0778113289.