House4Sale Nyumba ya Ghorofa inauzwa Mbweni

nyumba nzuri ila usawa unakaba. ila huyo mwamba anauza hata kabla hajakaa!?
 
Nyumba inauzwa mbweni Jkt...karibu sana mteja wetu tukuhudumie
 
Hivi unajenga nyumba ya vyumba vinne vyote ni en-suite ndiyo kumantain social distancing?

Master bedroom kuwa en-suite ni muhimu na chumba cha wageni. Hivi viwili vinapendezs kutumia choo na bafu ya familia.
 
Nyumba inauzwa ipo mbweni Jkt, vyumba 4 vyote self, na pia kuna nyumba ndogo kwa ajili ya wafanyakazi nk
Nyumba bado ni mpya kabisa na ukinunua unakabidhiwa ikiwa imekamilika kila kitu

Uwanja una ukubwa wa 1200sqm

Bei 550m

Maongezi zaidi 0756060183
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…