House4Sale Nyumba ya ghorofa mbili inauzwa Stonetown, Zanzibar

House4Sale Nyumba ya ghorofa mbili inauzwa Stonetown, Zanzibar

al-baajun

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2015
Posts
283
Reaction score
209
Nyumba ni ya familia tunauza.

Nyumba inafaa sana kwa hotel,guest or Airbnb(watalii wengi sana)

Ipo katikati ya mji mkongwe(stonetown),karibu na maeneo yote ya utalii kama forodhani,beach nk

Nyumba ina nyaraka zote na mtanzania yoyote anaweza akanunua(ukiwa sio mtanzania hutoweza labda mtu akununulie)

Bei ni 150,000 usd

Nyumba inauzwa na mwanafamilia sio dalali.

Piga/whastapp 0753038470.

Karibu san
IMG-20210925-WA0000.jpg
IMG-20210925-WA0001.jpg
IMG-20210925-WA0003.jpg
IMG-20210925-WA0002.jpg
 
Hiyo si Ni Nyumba ya serikali Mkuu au Mnazo Document zote.
 
Nyumba za binafsi mkuu, documents zote zipo,serikali inauntunza tu huo mji mkongwe pamoja na kuzifanya nyumba ziwe kama zilivokua mwanzo eg,Huwezi weka aluminium windows.
Shukran Mkuu kwa kunifahamisha.
 
Nimekaa zanzibar miaka 7 kwahiyo usinidanganye. Hataufanye airbnb huwezi pata kirahisi
 
Back
Top Bottom