jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
una hakika na unachokisema nduguYes mnaruhusiwa kununua nyumba boss,mtu akiuza unanunua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una hakika na unachokisema nduguYes mnaruhusiwa kununua nyumba boss,mtu akiuza unanunua
wakiwa na shida ya kuuza nyumba ndio wanakuja huku, ila kama hawana shida wanatuita chogo na haturuhusiwi kumiliki ardhi kule. nunueni wenyewe au ipikeni wekeni kachumbari na pilipili muitafune.Ila nyumba za Zanzibar jamani.
Kila la heri mkuu. Kumbe watanganyika na sisi tunaruhusiwa kumiliki ardhi Unguja
Mbona makasiriko mkuu 😂😂😂wakiwa na shida ya kuuza nyumba ndio wanakuja huku, ila kama hawana shida wanatuita chogo na haturuhusiwi kumiliki ardhi kule. nunueni wenyewe au ipikeni wekeni kachumbari na pilipili muitafune.