Shukran Mkuu kwa kunifahamisha.Nyumba za binafsi mkuu, documents zote zipo,serikali inauntunza tu huo mji mkongwe pamoja na kuzifanya nyumba ziwe kama zilivokua mwanzo eg,Huwezi weka aluminium windows.
Ni kweli,haya maeneo ni mazuri sana ukiwekeza kama lodge za watalii au air bnb..pesa yako inarudi
Got irNi kweli,haya maeneo ni mazuri sana ukiwekeza kama lodge za watalii au air bnb..pesa yako inarudi
Yaani milioni 400 sehemu ambayo hata huwezi kupakia baiskeliBei nzuri kwa maeneo hayo,watakuja mkuu
Yaani milioni 400 sehemu ambayo hata huwezi kupakia baiskeli