House4Sale Nyumba ya GHOROFAni ( Apartment) Inauzwa upanga Ina vyumba vitatu (3) vya kulala

House4Sale Nyumba ya GHOROFAni ( Apartment) Inauzwa upanga Ina vyumba vitatu (3) vya kulala

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,146
Reaction score
371
Bei - TZS Milioni 300

Ghorofa ya kwanza, jengo lenye ghorofa 3

Sifa zake:

Vyumba 3:
1 Master Bedroom: Bafu+choo ndani (self-contained)
2 Vyumba vya kawaida: Bafu ya pamoja (shared bathroom)

Ziada:
Jiko kamili
Sebule (living room)
Eneo maalum la kula (dining area)

Mahali:

Upanga - Eneo lenye usalama

Urahisi wa usafiri na huduma muhimu za jamii kama afya na elimu.

Mawasiliano

Kwa ajili ya kuikagua piga simu/SMS/WhatsApp: 0784225000

Bei inajadiliwa kwa mnunuzi makini

 
Back
Top Bottom