Nyumba ya Heche inapekuliwa kwa nguvu

Tumpe mama muda!!! Seriously? Huyo alikuwa na dikteta kwa miaka sita akiridhia yote yaliyofanywa na dikteta mwendazake. Alituzuga kwa hotuba nzuri siku ya kuapishwa kumbe naye ni kama mwendazake tu!

Mama kama Jiwe, kama Sabaya!
 
Wewe ni Mku................
 
Tegenea mabadiliko makubwa sana. Sababu mama amekaa kimya kuona aliowateua wanaendana na demokrasia ya kiuchumi.muda upo
 
Kumbe tumebadilisha jinsia tu, mengine yote yana remain constant.
hahaha mbna hakuna alieanywa kilema ni upekuzi tu unafanyika of which hakuna kosa katika hilo ama mnataka wale red briged wawapekue?
 
Mnapekua nyumba kuitafuta Katiba Mpya au?

Wacha polisi wafanye kazi yao, mengine yatajilikana mbele meanwhile umri unaenda wekeza nguvu zako katika sehem zenyewe mashiko! mwaka wa kumi sasa nasoma mabandiko yako
 
Wewe ni Mku................

unapenda kubembelezwa na kushikwashikwa inaonekana...muda wa kuwapakata ulishaisha..huu muda tuutumie kufanya kazi kujenga nchi..JPM ametufundisha kitu, hii miruzi yenu tukiiaikiliza sana tutapoteza muda tu..
 
Biashara hasara ya kupima watu mkojo kwa lazima naona inakaribia kurejea kwa kasi. CDM baada ya Mbowe inapaswa kuongozwa na Heche, hakuna kupamba hakuna kuremba katika kukabiliana na mtesi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…