Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,091
- 8,243
Wanashindwa kuelewa kuwa kwa jinsia yake tu tayari Rais ana mtaji wa huruma kutoka kwa 50% ya waTZ woteCDM msipokuwa makini mnaweza kuwa maadui wa hii nchi na kupopolewa na mawe kila mahali msipojirekebisha na kufanya siasa zilizokomaa sio huu utoto
Mkuu Hawa wataelewa Sana mbona mungu hayupo upande wao wanalazimisha,Bila ya shaka polisiccm wanaweza kabisa kumbambikia kesi mbaya sana ya uchochezi.
Sio wapekue vizuri, wabebe waende nazo kabisa. Lakini hakuna jipya watakalokuwa wanafanya, hayo ni marudio tu.Wapekue vizuri wanaweza kukuta madawa ya kulevya na silaha
Wapekue tu vizuriSio wapekue vizuri, wabebe waende nazo kabisa. Lakini hakuna jipya watakalokuwa wanafanya, hayo ni marudio tu.
Unanifundisha uwekezaji kama unanifahamu vile, mtaji wa CCM ni wajinga wa sampuli yako.
Kwa hiyo mtuhumiwa kupekuliwa na dola nyumbani kwake ni makosa?....
Alafu ?Wapekue vizuri wanaweza kukuta madawa ya kulevya na silaha
Wapekue tu vizuri
Akili za baadhi ya watz ni takataka
Huyu dikteta atakipata anachokitafutaBila ya shaka polisiccm wanaweza kabisa kumbambikia kesi mbaya sana ya uchochezi.
Kabisa aseeUnategemea nini taifa ambalo almost 80% vichwani wamejazwa na kujaa ujinga
Lema, Heche, Msigwa, Sugu na Mbowe hawakuwa wamejiandaa maisha nje ya ubunge.Kama kuna watu wanaupenda na kuufurahia ubunge ni Heche, hadi ametoka kitambi! Halafu leo hao akina Heche wanalalamika wabunge hawalipi kodi wakati wenyewe wamekuwa wabunge zaidi ya miaka 10, hawajawahi kulipa hiyo kodi wala kulalamika bungeni kuwa why hawalipi kodi. Watu wanaowaamini hawa akina Heche huwa nawashangaa sana
Mnatengeneza udui,siku yakigeka mtatolewa korodani mzitafune mbichiWapekue vizuri wanaweza kukuta madawa ya kulevya na silaha
Well saidWanashindwa kuelewa kuwa kwa jinsia yake tu tayari Rais ana mtaji wa huruma kutoka kwa 50% ya waTZ wote
Muondoe pale ikulu huyo Samia wako uone kama atalaumiwa tena, maamuzi yake ya hovyo ndio yanasababisha mambo yachukuliwe personal, learn to think japo najua akili zako ndogo.unaonekana una hali mbaya sana ndo maaana kila kitu unakichukulia personal