Hivi upinzani maana yake ni Chadema?Heshimuni Mamlaka.
Chadema msimfanyie Dhihaka Rais.
Kwanini hampendi kuona nchi hii ikistawi??
Kila mara vurugu , maandamano na kumwaga damu.
Acheni kuwa mawakala wa shetani.
Hao nyumbu hawashindwi kuwa navyo.Wapekue vizuri wanaweza kukuta madawa ya kulevya na silaha
Mama anaupiga mwingi kweli kweli.Bila ya shaka polisiccm wanaweza kabisa kumbambikia kesi mbaya sana ya uchochezi.
Hasa kwa yule basha wako..!Wapekue vizuri wanaweza kukuta madawa ya kulevya na silaha
Nyumbuuuu
Kumbe wametunzwa Kigoto....pole yao, pale sio pazuri sanaBila ya shaka polisiccm wanaweza kabisa kumbambikia kesi mbaya sana ya uchochezi.
Wanafanya mambo ya hovyo kabisa. Katiba mpya inahusika vp na upekuzi wa nyumba?!Mnapekua nyumba kuitafuta Katiba Mpya au?
Sio madawa tu,wanaweza kumuwekea SMG ishirini ili waseme alikuwa anataka kuwa Muasi.Wasije wakamuwekea madawa ya kulevya...CCM hawana maana yoyote.
C mlisema anaupiga mwingi..sasa anauwapigiaa nyie mwingi..tulieeni..shida yenu nyie ni wajinga yaan hamuelewek mnataka nn..mnaendeshwaa na wafuasi wa ccm..Mama kama Jiwe, kama Sabaya!
Muondoe pale ikulu huyo Samia wako uone kama atalaumiwa tena, maamuzi yake ya hovyo ndio yanasababisha mambo yachukuliwe personal, learn to think japo najua akili zako ndogo.