tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Itakua yamepasua ukuta,tajiri aliyadhibiti majiKila mwaka yanaingia humo ila ilikuwa no kupost before tycoon death
Jacky ameshazoea mafuriko huyo tangu yule mzee yupo walifurikwa hivyo hivyo anatakiwa kuhama aende kwenye nyumba nyingine yule mzee hawezi kuwa ameacha nyumba hiyo hiyo inayogeuka bwawa la samaki nyakati za mvua. Pole sana kwake ajiongeze tu ili ajiepushe kuchezea tope [emoji12] Kama vipi aje buza nimpe kaplot [emoji23][emoji23][emoji23]
Labda tumuulize siku mafuriko yakipita tena nyumbani kwakeWakati maji yanajaa alikuwa wapi
Hata kama kila mara yanaingia, alipokuwa hai mwenyewe kulikuwa na mashine za kutoa maji yakiingia ndani ya uzio licha ya ukuta imara aliojengwa!!!Kila mwaka yanaingia humo ila ilikuwa no kupost before tycoon death
Hawana tofauti na waliyojenga mabondeniKwanini tycoon late Mengi akajenga hapo?
Maisha gani sasa hayo?[emoji848][emoji848]
Full kujistukia, wanawake tujifunze kumiliki mali zetu mweeh!
Kama ni staa kwako usidhani kuwa kila mtu anamuona hivyo; watu wana mambo ya muhimu kufanya kuliko kumfikiria huyo mwanamke!!
Hapo wanawake mjifunze ukweli kuwa bila kuwepo mwanaume hamtoboi; alipokuwepo mwenyewe mbona hayo mafuriko hayakuingia ndani?
Umpe pole!!Kwa hiyo tufanyaje? Mkuuu
sent from HUAWEI
Kwa wachaga mambo ya urithi Kuwa care asije tembea na ndalaMjasiriamali na mwanamitindo maarufu, ambaye pia ni mjane wa aliyekua mfanyabiashara maarufu , the late Reginald mengi , Kupitia ukurasa wake wa Instagram , ame share video inayoonyesha mafuriko jinsi yalivyoikumba nyumba yake na kusambaratisha kila kitu .
Mwanamama huyo kwa masikitiko makubwa amasema mvua hyo imeharibu baadhi ya vitu ambavyo vilikua ni kumbu kumbu muhimu ya marehem mume wake.
View attachment 1606366
mume wakeView attachment 1606367
Usimpangie maisha.Hakukuwa na ulazima wowote wa kupost mitandaoni kutujulisha kwamba amekumbwa na mafuriko, pamoja na exposure aliyonayo bado anakuwa na tabia za kishamba hivyooo
Bosslady anadanga😂😂Kudanga, atakula nn mjin[emoji23]
It might have been staged , ili alipwe na insurance ndio maana amewahi social media kutafuta hurumaHakukuwa na ulazima wowote wa kupost mitandaoni kutujulisha kwamba amekumbwa na mafuriko, pamoja na exposure aliyonayo bado anakuwa na tabia za kishamba hivyooo
Kwanini tycoon late Mengi akajenga hapo?
Jacky ameshazoea mafuriko huyo tangu yule mzee yupo walifurikwa hivyo hivyo anatakiwa kuhama aende kwenye nyumba nyingine yule mzee hawezi kuwa ameacha nyumba hiyo hiyo inayogeuka bwawa la samaki nyakati za mvua. Pole sana kwake ajiongeze tu ili ajiepushe kuchezea tope 😜 Kama vipi aje buza nimpe kaplot 😂😂😂
It might have been staged , ili alipwe na insurance ndio maana amewahi social media kutafuta huruma
Raisi tu wanaweza kutoboa somewhere Maji yaingie. Then alipwe