Nyumba ya kisasa inapangishwa bei nzuri Changanyikeni Dar es salaam

Nyumba ya kisasa inapangishwa bei nzuri Changanyikeni Dar es salaam

Hii nyumba imefinishiwa vizuri.
Safi sana. Picha hazitoshi lakini na aliyepiga picha nadhani bado hajaweza vizuri kuonesha maeneo husika ya nyumba.
Issue ya maji ikoje?
 
Ndugu yangu Hekimatele nashukuru kwa compliment yako. Ni kweli nyumba imefanyiwa finishing nzuri sana natamani ningeweza kuonyesha picha zaidi hapa. Hata hivyo Blog hii inatupa limit ya kuweka picha 5 tu. Maji yapo. Karibuni wenye interest
 
Back
Top Bottom