T Tanzan Member Joined Aug 19, 2014 Posts 40 Reaction score 13 Oct 30, 2014 #1 Wakuu, asanteni kwa ushirikiano na compliments. Nyumba imeshapata mpangaji
idoyo JF-Expert Member Joined Jan 13, 2013 Posts 3,051 Reaction score 1,423 Oct 30, 2014 #2 Nzuri, bei reasonable. kuna mtu anataka ya 2-bedroom ya uzuri huo-huo, anapata?
T Tanzan Member Joined Aug 19, 2014 Posts 40 Reaction score 13 Oct 30, 2014 Thread starter #3 Asante Idoyo kwa compliments. Ya 2 bed rooms kwa sasa sina. Hii ni ya kwangu mwenyewe, sifanyi udalali. Endelea kutafuta hope utapata ya vyumba 2
Asante Idoyo kwa compliments. Ya 2 bed rooms kwa sasa sina. Hii ni ya kwangu mwenyewe, sifanyi udalali. Endelea kutafuta hope utapata ya vyumba 2
NGUVUMOJA JF-Expert Member Joined Jul 1, 2011 Posts 1,347 Reaction score 330 Oct 30, 2014 #4 Nyumba nzuri na bei nzuri ila picha kidogo, yaani hamna picha za vyumbani na uwanja
T Tanzan Member Joined Aug 19, 2014 Posts 40 Reaction score 13 Oct 30, 2014 Thread starter #5 Ndugu yangu Nguvu Moja. Picha zipo nyingi ila idadi ya mwisho kwa mujibu wa forum hii ni picha 5 tu.
E Eugeniafaith Member Joined Apr 3, 2012 Posts 87 Reaction score 30 Oct 30, 2014 #6 Tanzan said: Ndugu yangu Nguvu Moja. Picha zipo nyingi ila idadi ya mwisho kwa mujibu wa forum hii ni picha 5 tu. Click to expand... Nzuri Ina fensi?
Tanzan said: Ndugu yangu Nguvu Moja. Picha zipo nyingi ila idadi ya mwisho kwa mujibu wa forum hii ni picha 5 tu. Click to expand... Nzuri Ina fensi?