Nyumba ya kisasa inapangishwa bei nzuri Changanyikeni

Nzuri, bei reasonable. kuna mtu anataka ya 2-bedroom ya uzuri huo-huo, anapata?
 
Asante Idoyo kwa compliments. Ya 2 bed rooms kwa sasa sina. Hii ni ya kwangu mwenyewe, sifanyi udalali. Endelea kutafuta hope utapata ya vyumba 2
 
Nyumba nzuri na bei nzuri ila picha kidogo, yaani hamna picha za vyumbani na uwanja
 
Ndugu yangu Nguvu Moja. Picha zipo nyingi ila idadi ya mwisho kwa mujibu wa forum hii ni picha 5 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…