Gazillionaire
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 235
- 59
Weka picha!!
Natumia simu Mkuu, kuappload picha inasumbua
Nyumba nzuri sana ya
Kisasa(Self contained) yenye vyumba 3 vya kulala, sebule, dining na
jiko,fence, parking ya magari 5, na majirani wastaarabu inapangishwa Kigamboni kwa sh. 400,000
kwa mwezi na inalipiwa miezi 12.
Mwenye kuhitaji ani PM.
Natumia simu Mkuu, kuappload picha inasumbua
Mkuu wangu niambie niambie
nataka eneo huko maeneo ya kigamboni nifanyie mchakato kama vipi nataka
vile vya bei rahisi
Vilivyopo vinaanzia milioni 3, 4, 4.5, 5, 7, 8 hadi 20 milioni kwa heka kutegemeana na location. Vya kupima vyenye offer ni sh. 10,000 hadi 14,000 kwa square meter kutegemeana na location pia. Ni PM[/Q
Mkuu GEZA naweza kupata kiwanja cha kupima cha mradi? kiwe sq 1000 na kuendelea bjet yagu 10,000,000
Natumia simu Mkuu, kuappload picha inasumbua
Mkuu wangu niambie niambie nataka eneo huko maeneo ya kigamboni nifanyie mchakato kama vipi nataka vile vya bei rahisi
Vilivyopo vinaanzia milioni 3, 4, 4.5, 5, 7, 8 hadi 20 milioni kwa heka kutegemeana na location. Vya kupima vyenye offer ni sh. 10,000 hadi 14,000 kwa square meter kutegemeana na location pia. Ni PM[/Q
Mkuu GEZA naweza kupata kiwanja cha kupima cha mradi? kiwe sq 1000 na kuendelea bjet yagu 10,000,000
Fanya 15m nikupe geza ulole 600sqm
Fanya 15m nikupe geza ulole 600sqm
Mkuu nashukuru sana. Ila budget yangu ndo hiyo kiongozi. Labda nitafute maeneo mengine.
Vilivyopo vinaanzia
milioni 3, 4, 4.5, 5, 7, 8 hadi 20 milioni kwa heka kutegemeana na
location. Vya kupima vyenye offer ni sh. 10,000 hadi 14,000 kwa square
meter kutegemeana na location pia. Ni PM[/Q
Mkuu GEZA naweza kupata kiwanja cha kupima cha mradi? kiwe sq 1000 na
kuendelea bjet yagu 10,000,000
Kipo, cha milioni 12
Kipo, cha milioni 12
Geza hicho kiko sehemu gani Kigamboni!
Geza hicho kiko sehemu gani Kigamboni!
Geza ni baada ya Mjimwema mbele ya Kibugumo ukipita njia ya kwenda Kimbiji