Nyumba ya kisasa inapangishwa Kigamboni km 4.5 kutoka ferry

Nyumba ya kisasa inapangishwa Kigamboni km 4.5 kutoka ferry

Gazillionaire

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
235
Reaction score
59
Nyumba nzuri sana ya
Kisasa(Self contained) yenye vyumba 3 vya kulala, sebule, dining na
jiko,fence, parking ya magari 5, na majirani wastaarabu inapangishwa Kigamboni kwa sh. 400,000
kwa mwezi na inalipiwa miezi 12.
Mwenye kuhitaji ani PM.
 
atiiiii...parking ya magari 5...!!! picture please
 
Mkuu wangu niambie niambie
nataka eneo huko maeneo ya kigamboni nifanyie mchakato kama vipi nataka
vile vya bei rahisi

Vilivyopo vinaanzia milioni 3, 4, 4.5, 5, 7, 8 hadi 20 milioni kwa heka kutegemeana na location. Vya kupima vyenye offer ni sh. 10,000 hadi 14,000 kwa square meter kutegemeana na location pia. Ni PM
 
Vilivyopo vinaanzia milioni 3, 4, 4.5, 5, 7, 8 hadi 20 milioni kwa heka kutegemeana na location. Vya kupima vyenye offer ni sh. 10,000 hadi 14,000 kwa square meter kutegemeana na location pia. Ni PM[/Q

Mkuu GEZA naweza kupata kiwanja cha kupima cha mradi? kiwe sq 1000 na kuendelea bjet yagu 10,000,000
 
Mkuu wangu niambie niambie nataka eneo huko maeneo ya kigamboni nifanyie mchakato kama vipi nataka vile vya bei rahisi

Papizo. Nimeweka uzi kuhusu viwanja kigamboni. Vipo na vimepimwa kuanzia sqm 400 mpaka 5000 tunauza 6500 @ sqm
 
Vilivyopo vinaanzia milioni 3, 4, 4.5, 5, 7, 8 hadi 20 milioni kwa heka kutegemeana na location. Vya kupima vyenye offer ni sh. 10,000 hadi 14,000 kwa square meter kutegemeana na location pia. Ni PM[/Q

Mkuu GEZA naweza kupata kiwanja cha kupima cha mradi? kiwe sq 1000 na kuendelea bjet yagu 10,000,000

Fanya 15m nikupe geza ulole 600sqm
 
Poa ngoja nikuchekie. Ntarudi kukujuza
 
Vilivyopo vinaanzia
milioni 3, 4, 4.5, 5, 7, 8 hadi 20 milioni kwa heka kutegemeana na
location. Vya kupima vyenye offer ni sh. 10,000 hadi 14,000 kwa square
meter kutegemeana na location pia. Ni PM[/Q

Mkuu GEZA naweza kupata kiwanja cha kupima cha mradi? kiwe sq 1000 na
kuendelea bjet yagu 10,000,000

Kipo, cha milioni 12
 
Vipo vyenye vocha 500 to 600sqm block 18 na 24 kwa 5 to 6m ukiprocess hati ndo inafika 10.

0764800989
Panga siku uje kuona
 
Taarifa kwa ambao wanahitaji kuja kuona na kupata uhalisia wa viwanja vya mwasonga na mbutu, maomba wanijulishe ili jmosi na jpili waweze kupelekwa.
 
Karibuni sana, viwanja vya Mbutu ni 500m toka baharini, vimebaki vya 1800sqm na 1400sqm.

[email protected]
0764800989 whatsapp, sms or call
 
Back
Top Bottom