House4Rent Nyumba ya kisasa inapangishwa, Tabata (Kinyerezi)

House4Rent Nyumba ya kisasa inapangishwa, Tabata (Kinyerezi)

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,660
Salaam
NYUMBA inapatikana Tabata, Kinyerezi
Particulars
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala (master inclusively)
Full tiles, gypsum and aluminium windows
Ina perving blocks na iko ndani ya fensi.
Water supply 24/7
Umbali kutoka lami ni 1km
Kodi kwa mwezi 600k (×6)
Call: 0756 832833
View attachment 1006008
IMG-20190127-WA0052.jpeg
IMG-20190127-WA0055.jpeg
IMG-20190127-WA0059.jpeg
IMG-20190127-WA0053.jpeg
IMG-20190127-WA0054.jpeg
IMG-20190127-WA0058.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naomba ramani yake na 3D.
Nyumba nzuri sana. Contractor ni nani?
Kituo cha basi unashukia wapi kufika ilipo?
 
Halafu dalali nayeye anataka 600k.dah aise hii dar bwana kufa kufaana.

Hajui lori ngapi za mchanga zimekufa hapo.

Hajui mpangaji kapata vipi hiyo hela,ila kuwakutanisha tu imekuwa tabu.
 
mkuu ukiwa stendi mwisho wa magari au karibu na kanisa la roma hii nyumba inakuwa upande gani au siyo maeneo hayo nielekeze
 
Back
Top Bottom