House4Rent Nyumba ya kisasa inapangishwa, Tabata (Kinyerezi)

Halafu dalali nayeye anataka 600k.dah aise hii dar bwana kufa kufaana.

Hajui lori ngapi za mchanga zimekufa hapo.

Hajui mpangaji kapata vipi hiyo hela,ila kuwakutanisha tu imekuwa tabu.
Ingekua kwa wenzetu, hii ni challenge na ingefanywa kuwa fursa
 
Muafaka kabisa,huko ukihamia miguu ya kuku miwili itapendeza
 
Kinyerezi kwa hiyo bei bado ni kubwa sana.....Nazani kwa upande wangu kwa nyumba kama hiyo huko kinyerezi kodi ya 350000 ni very Reasonable kuliko hiyo anayo taka mwenye jengo lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…