Hivi watu wanaouza nyumba nini tatizo? Au vijana walioachiwa urithi na wazazi wanauza bila kujua gharama wazazi waliingia kujenga?
Au dhamana ya benki wanawahi kuuza ili wabakiwe na cha juu? Nyumba ni lasilimali kubwa ya kukuingizia kipato cha uhakika kama utapangisha! Sioni sababu za ongezeko la kuuza nyumba siku hizi!