House4Sale Nyumba ya kisasa inauzwa Tabata Segerea mtaa wa Ugombola kwa Ml. 120

House4Sale Nyumba ya kisasa inauzwa Tabata Segerea mtaa wa Ugombola kwa Ml. 120

Joined
Mar 22, 2020
Posts
8
Reaction score
10
Nyumba ina vyumba vitatu chumba master public toilet, dining room, stoo, jiko na sitting room kubwa pia umeme maji gypsum safi, tiles
Kwa mahitaji piga simu kwa maelezo zaidi

BEI: Milioni 120

SIMU: 0710751576
WHATSAPP: 06 25 43 38 99

FB_IMG_1585216890101.jpeg
FB_IMG_1585216901815.jpeg
FB_IMG_1585216907277.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi watu wanaouza nyumba nini tatizo? Au vijana walioachiwa urithi na wazazi wanauza bila kujua gharama wazazi waliingia kujenga?

Au dhamana ya benki wanawahi kuuza ili wabakiwe na cha juu? Nyumba ni lasilimali kubwa ya kukuingizia kipato cha uhakika kama utapangisha! Sioni sababu za ongezeko la kuuza nyumba siku hizi!
 
Back
Top Bottom