Dalali_wa_kimataifa
Senior Member
- Apr 16, 2025
- 182
- 176
Roughly 1 SQM equivalent to 1OOMNYUMBA ya KUBOMOA
🔥INAUZWA🔥
Ipo KAWE karibu na MAGHOROFA ya SAMIA hapo
Inatazama
OLD BAGAMOYO
Ipo MAIN ROAD
Umiliki L/MAKAZI
ENEO. (SQM 732)
Price Mill 700 maongezi
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
View attachment 3667410
Haha. 1m bana. Which is crazy anywayRoughly 1 SQM equivalent to 1OOM
Hahahaaa ghofu la kawe price yake inaizidi Mansion la Los Angeles Beach front.NYUMBA ya KUBOMOA
🔥INAUZWA🔥
Ipo KAWE karibu na MAGHOROFA ya SAMIA hapo
Inatazama
OLD BAGAMOYO
Ipo MAIN ROAD
Umiliki L/MAKAZI
ENEO. (SQM 732)
Price Mill 700 maongezi
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
View attachment 3667410
Real estate TZ ni pasua kichwa. Kinyumba cha room 3 Goba unaambiwa 400m. Kununua unaogopa. Maana unaona kabisa nyumba ni ya 150m unaambiwa 400 mara 550Hahahaaa ghofu la kawe price yake inaizidi Mansion la Los Angeles Beach front.
TZ wezi kila pahala ,nyumba ya 400m(20m Ksh) ukienda Nairobi ni sehemu ambao wanakaa MAFOGO.Real estate TZ ni pasua kichwa. Kinyumba cha room 3 Goba unaambiwa 400m. Kununua unaogopa. Maana unaona kabisa nyumba ni ya 150m unaambiwa 400 mara 550
HahahaReal estate TZ ni pasua kichwa. Kinyumba cha room 3 Goba unaambiwa 400m. Kununua unaogopa. Maana unaona kabisa nyumba ni ya 150m unaambiwa 400 mara 550
Sure na ni banglow. Huku unawekewa kinyumba utasikia tumejenga kwa milioni 500!TZ wezi kila pahala ,nyumba ya 400m(20m Ksh) ukienda Nairobi ni sehemu ambao wanakaa MAFOGO.
Nchi hii imajaa wezi kuanzia serikalini hadi wananchi wa kawaida, yani timing tuTZ wezi kila pahala ,nyumba ya 400m(20m Ksh) ukienda Nairobi ni sehemu ambao wanakaa MAFOGO.
Ni shida ,nadhani TZ bei za nyumba ni ghali kwa dunia nzima....Leo nilikuwa naongea na dalali mmoja anasema ,kuna kiwanja watu walifika bei 1.2B mwenyewe akakataa ni nje ya mji halafu ipo kwenye barabara ya TANROAD sema lami bado.Nchi hii imajaa wezi kuanzia serikalini hadi wananchi wa kawaida, yani timing tu