Asante mkuu, nitayatilia maanani maoni yako.Ni bora ukatumia tofali za nchi 6 ili utumie tofali chache. Katika ujenzi wa slab, gharama kubwa ipo kwenye nondo na cement. Probably kupaua kwa mfumo wa bati lisiloonekana ni nafuu zaidi kwa sababu idadi ya mbao zinazotumika ni chache.
Ni kama hiyo ndugu. Je ni kwa nini sio rafiki wa maeneo yenye mvua nyingi?View attachment 1665872View attachment 1665872kama hizi siyo ila nasikia siyo rafiki wa maeneo yenye mvua nyingi ila mwenyewe nazipenda
Hizi nyumba lazima kumpata anayejua kupaua vizuri lasivyo utapata matatizo mbeleni,kuna jamaa namjua inamsumbua sana inavuja kula mvua ikinyesha.View attachment 1665872View attachment 1665872kama hizi siyo ila nasikia siyo rafiki wa maeneo yenye mvua nyingi ila mwenyewe nazipenda
Itavuja vipi wakati nimefunika kwa zege? Au sijaeleweka mkuu?Hizi nyumba lazima kumpata anayejua kupaua vizuri lasivyo utapata matatizo mbeleni,kuna jamaa namjua inamsumbua sana inavuja kula mvua ikinyesha.
Pia nyumba hizi zinahitaji finishing ya nguvu ujiweze kiuchumi utengeneze mazingira yawe vizuri,lasivyo nyumba itaonekana kama banda la kuku.
Samahani niko nje ya mada je ninapotaka kujenga nyumba ambayo itakua na kagorofa kamoja au tuwili inapsawa lazima site kuwe na mkandarasi au fundi anaeaminika anaruhusiwa?Uamuzi wa kufunika paa kwa zege ulipaswa kuwa nao wakati wa kuchimba na kusimamisha msingi...otherwise msingi wa nyumba hauta himili paa la zege
Zege ni ghali zaidi kama unataka kuokoa gharama. Pia zege ukiezekea lazima juu yake uweke material ya water proof vinginevyo likinyonya maji wakati wa mvua nyingi utakuja kukuta linavuja na litakuwekea alama chini darini kwa ndani.Itavuja vipi wakati nimefunika kwa zege? Au sijaeleweka mkuu?
Asante kwa angalizo la changamoto ya kuvuja.Zege ni ghali zaidi kama unataka kuokoa gharama. Pia zege ukiezekea lazima juu yake uweke material ya water proof vinginevyo likinyonya maji wakati wa mvua nyingi utakuja kukuta linavuja na litakuwekea alama chini darini kwa ndani. Tafuta fundi wa hizo paa za kuficha hakikisha ni mzuri otherwise nazo huwa zinavuja sana kwenye maungio ya bati na zege lililoficha paa ( upstanding walls or gutter)