Nyumba ya kulea wazee kwa Dar iko/ziko wapi?

Nyumba ya kulea wazee kwa Dar iko/ziko wapi?

Unataka kwenda kuwatunza au unataka umpeleke dingi yako? Wazo lako linanipa ukakasi ina maana hapo mtaani hakuna wazee waliofulia au kwenye ukoo wako hakuna wahitaji mpaka uanze kuwatafuta kwa tochi.
 
vijana wa siku hizi ni zaidi ya pasua kichwa, wazazi wawili wanaweza kuwatunza watoto sita lakini watoto sita wenye kazi nilishuhudia wakimpiga danadana baba yao mzee na mgonjwa mpaka kufikia hatua ya kuulizia nyumba ya kulelea wazee, hii ni zaidi ya laana
 
Sure. Utakuta kipindi wakiwa wadogo mzee aliwapelekesha sana sasa wanaona kama wamepata mwanya wa kukomoa
 
Malipo yake yakoje? Ukiwa umeajiriwa hauna mda wa kuwatunza, ni labda uweke mfanyakazi. Sometimes matunzo yanajumlisha vitu zaidi, kupima kisukari pressure,diet maalumu, kubadilisha mpira wa mkojo nk
 
Back
Top Bottom